Skip to content
Advertisements

Ommy Dimpoz “Amjibu Amber lulu” kuhusu kutokuvutiwa nae !.

Msanii wa muziki kutoka Rock Star, Ommy Dimpoz amewataka mashabiki wa muziki wake kukaa mkao wa kula kwaajili ya ujio wa albamu yake mpya. Pia muimbaji huyo amefunguka kuzungumza tetesi za kutoka msanii wa label yake PKP, Neddy Music.

Advertisements
%d bloggers like this: