Skip to content
Advertisements

Jux “Nakuona mbali mama”

Msanii Juma Jux amemtabilia makubwa mpenzi wake Vanessa ambaye ameachia kazi yake mpya inayokwenda kwa jina la Wet ambayo amemshilikisha Gnako.

Ngoma hiyo ambayo pia inapatikana kwenye albam ya mwanadada Vee ya Money Mondays akitumia mtandao wa Instagram Jux aliandika

“Levels nakuona mbali sana mama @vanessamdee #wet ngoma nomaaaa video hatari #moneymondays @gnakowarawara mnyobi wa harita huu gusa link kwa bio ya @vanessamdee now”

Unaweza kuitazama hapo chini video hiyo iliyofanyika chini ya director Justic Compus kutoka SA.

Advertisements
%d bloggers like this: