Scorpion Yametimia Hukumu Kusomwa Januari 10

Kesi ya kumjeruhi mpaka kumtoboa macho kinyozi, Said Mrisho inayomkabili mwalimu wa sanaa ya kujihami, ‘Martial Arts’ na msanii wa filamu za kibongo, Salum Njwete maarufu Scorpion hatimaye imefikia tamati […]

MSIBA: MO amefiwa na mtoto

Kiungo wa Simba Mohammed Ibrahim MO amefiwa na mtoto wake mdogo ambaye amezaliwa hivi karibuni. Bado hakuna taarifa rasmi ambazo zinaeleza sababu ya kifo cha mtoto huyo, lakini inaelezwa alifariki […]

Lissu: Nitadai haki mpaka mwisho wa maisha yangu

Mbunge wa Singida Mashariki kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amesema kuwa hawezi kuacha kuitafuta haki pamoja na kuikosoa serikali pindi itakapoenda kinyume na utaratibu […]

Mugabe na mkewe waondoka Zimbabwe

Rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe leo ameondoka nchini humo kwa mara ya kwanza tangu ajiuzulu nafasi hiyo akielekea nchini Singapore kupata matibabu. Kwa mujibu wa gazeti la News […]

Mbunge Chadema apingana vikali na Mbowe

Mbunge wa Moshi Vijijini kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Anthony Komu ametoa msimamo wake unaotofautiana na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kuhusu kususia uchaguzi wa […]

Mfanyabiashara ajiandalia mazishi kabda ya kufa

Mfanyabiashara mmoja nchini Japan ambaye anaugua saratani na anatarajiwa kufariki karibuni aliwashangaza watu baada ya kuandaa karamu kubwa ya kuaga. Satoru Anzaki aliwaalika wageni karibu 1,000 wakiwemo marafiki zake, watu […]

Oscar Pistorius ajeruhiwa akipigana gerezani

Aliyekuwa mwanariadha mlemavu raia wa Afrika Kusini Oscar Pistorius amejeruhiwa kwenye mzozo wa gerezani, chini ya wiki mbili baada ya kifungo cha kwa kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp kuongezwa zaidi […]

Video;Rais Uhuru Kenyatta ameonya vikali upinzani

Rais Uhuru Kenyatta ameonya vikali upinzani kuwa sheria itachukua mkondo wake kwa wale wanaokiuka sheria. Akihutubia wakenya kwenye sherehe za 54 tangu taifa lijinyakulie uhuru, Kenyatta amesema kuwa taifa la […]