Skip to content
Advertisements

Category: Afya

NYAMA NDANI YA PUA (NASAL POLYPS)

NYAMA NDANI YA PUA/ NASAL POLYPS Nasal polyps hizi ni aina ya vimbe zinazojitokeza toka katika kiwamboute ndani ya pua na paranasal sinuses.( aina yavitundu ndani ya pua). Ni uotaji […]

KUVIMBA KWA KIZAZI (ADEMOMYOSIS) – DOCTOR JOH

HAPA hutokea hali ambayo nyama zinaota na kukua kama tabaka au ukuta mwingine juu ya misuli ya kizazi ‘Ectopic Glandular tissues’. Awali tatizo hili liliitwa kitaalamu ‘Endometriosis Interna ingawa tatizo […]

SHAKING BABY SYNDROME

Imezoeleka kwa wazazi au hata walezi wakiwa na watoto huwarusha rusha juu wakidhani mtoto hufurahia na kucheka pindi anaporushwa rushwa juu.Kitendo hicho si kizuri kiafya kwa mtoto kwani huweza kumsababishia […]

Punyeto kwa wanawake

Kama ilivyo kwa jinsia ya kiume, kuna wanawake pia ni wahanga wa kufanya punyeto kwa kutumia vifaa tofauti tofauti. HAYA NI BAADHI YA MADHARA AWEZAYOPATA MWANAMKE ANAYEJICHUA; Inaharibu kizazi Inakufanya […]

KITUNGUU SWAUMU HUTIBU MAGONJWA 30

Mungu anaposema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa hamaanishi maarifa ya kutengeneza au kuendesha ndege, ni maarifa ya kawaida tu katika maisha yetu ya kila siku ambayo yanaweza kubadilisha afya […]

Jinsi ya kuongeza uume bila dawa

Ukubwa wa uume unategemea vitu kama kiwango cha mhemuko, muda, hali ya hewa na unashiriki tendo la ndoa mara ngapi. Si wanawake pekee ambao huwa bize kuona wanakuwa na maumbile […]