Skip to content
Advertisements

Category: Burudani

Jibu la Lulu kuhusu kesi yake

Muigizaji Elizabeth Michael (Lulu), amesema kesi inayomkabili ya kuua bila ambayo inamkabili haikuwahi kuisha kama baadhi ya watu wanavyodhani. Muigizaji huyo huyo anakabiliwa na kesi ya kusababisha kifo bila kukusudia […]

msami afunguka ishu ya-kutukoa na nandy

Msanii wa Bongo Flava, Msamii amesema si kweli kwamba ameshawahi kutoka kimapenzi na Nandy.  Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma katika mahojiano na Bongo5 amesema Nandy ni […]

Director Jowzey ndani ya tuhuma nzito za ngono

Mrembo aliyeosha kwenye ‘Vichupa’ kadhaa vya Bongo Flava ikiwemo Akadumba ya Ney Wa Mitego, Tatu Chafu ya Jay Wa Mitulinga na Shori ya Kamikaze, Asha ‘Kidoa’ Sallum, amemporomoshea shutuma nzito […]

Hamisa Mobetto na Vera Sidika wavimbiana

Mavideo vixer matata kutoka Afrika Mashariki, Vera Sidika wa nchini Kenya na Hamisa Mobetto kutoka Tanzania, wamerushinana maneno kisa video ya Snapchat. Hamisa ambaye bado yupo nchini Kenya, alitumia mtandao […]

AMBER LULU: TUNAJICHETUA KWA AJILI YA MAISHA

MUUZA nyago maarufu kwenye video mbalimbali Bongo, ambaye kwa sasa amejitumbukiza kwenye muziki, Lulu Euggen ‘Amber Lulu’, amefunguka kuwa vituko wanavyofanya hasa kwa kukaa nusu utupu ni kwa ajili ya […]

Hamisa Mobetto aitafuta amani kwa Zari

Mwanamitindo maarufu Tanzania ambaye kwa sasa anazungumziwa sana mitandaoni kwa sakata la kuzaa na msanii Diamond Platinumz, Hamisa Mobetto ametoa siri ambayo watu wengi walikuwa hawaifahamu kuhusu mahusiano yake na […]

TRA YALIUZA RANGE ROVER EVOQUE YA WEMA SEPETU

BAADA ya kugoma kuuzika sokoni tangu likamatwe, yapata mwaka mmoja na miezi kadhaa, hatimaye lile gari aina ya Range Rover Evoque 504 lililokuwa likimilikiwa na Miss Tanzania 2006/07, Wema Isaac […]

Hii kali!! Calisah kufungua duka la kuuza mimba

Mwanamitindo Calisah ambaye hivi karibuni amekumbwa na skendo ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja baada ya kuonekana amevaa viatu vya kike, amesema anakusudia kufungua duka la kuwapa mimba wanawake.  […]

MISS TANZANIA 2017 ANUSURIKA KUTEKWA

DAR ES SALAAM: Mrembo anayeshikilia Taji la Miss Tanzania 2016/17, Diana Edward amenusurika kukeketwa na ndugu zake nyumbani kwao, Sakina jijini Arusha.   Akizungumza na Ijumaa mapema wiki hii akiwa […]