Skip to content
Advertisements

Category: Entertainment

Dude Atoboa Siri Ya Maisha Yake

KULWA Kikumba ‘Dude’ ametoboa siri ya maisha yake kuwa, tangu ajitambue hajawahi kuugua hadi kulazwa pia kupelekwa nyuma ya nondo kwa kosa lolote lile.   Dude alizungumza na Full Shangwe […]

Sina Mpango Wa Kumuona Lulu Gerezani -Seth

WIKI chache baada ya muigizaji wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kufungwa jela, mdogo wa marehemu Steven Kanumba, , aitwaye Seth Bosco aliyekuwepo siku ya tukio la mauaji hayo, hana […]

Dk. Shika Adai Hajiwezi Kwa Ray C

DAKTARI Louis Shika ambaye alipata umaarufu mkubwa baada ya jaribio lake la kununua nyumba za mfanyabiashara Said Lugumi, ametoa mpya baada ya kudai kuwa anaguswa na muziki wa mkongwe Rehema […]

Zari Aliamsha Dude Kwa Mzazi Mwenziye

Mipasho! Mwanamitindo mjasiriamali, Zarinah Hassan ‘Zari The BossyLady’ ambaye aliingia katika mtafaruku wa maisha yake ya kimapenzi, kwa mara nyingine juzikati alionyesha kuwepo kwa kutoelewana kwao baada ya kuliamsha dude […]