Skip to content
Advertisements

Category: GOSSIP

Nahreel aweka wazi kibendi cha mpenzi wake

Penzi kati ya producer Nahreel na msanii Aika wanaounda kundi la Navykenzo linazidi kunoga na kubariki ambapo mrembo huyo amebahatika kupata ujauzito. Stori ya mapenzi kwa wawili hao ilianzia Chuoni […]

Director Jowzey ndani ya tuhuma nzito za ngono

Mrembo aliyeosha kwenye ‘Vichupa’ kadhaa vya Bongo Flava ikiwemo Akadumba ya Ney Wa Mitego, Tatu Chafu ya Jay Wa Mitulinga na Shori ya Kamikaze, Asha ‘Kidoa’ Sallum, amemporomoshea shutuma nzito […]

Hamisa Mobetto na Vera Sidika wavimbiana

Mavideo vixer matata kutoka Afrika Mashariki, Vera Sidika wa nchini Kenya na Hamisa Mobetto kutoka Tanzania, wamerushinana maneno kisa video ya Snapchat. Hamisa ambaye bado yupo nchini Kenya, alitumia mtandao […]

Nelly akamatwa kwa tuhuma za ubakaji

Nelly amekamatwa kwa kudaiwa kumbaka mwanamke … TMZ imejifunza. Vyanzo vya utekelezaji wa sheria vinatuambia, mwanamke anasema yeye alibakwa kwenye basi ya raia ya rapa – ambalo lilisimamishwa katika kura […]