Skip to content
Advertisements

Category: muziki

Burudani

New Music Video: Hemedy Phd – Mkimbie

Msanii wa Bongo Fleva, Hemedy Phd ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Mkimbie’ kichupa kimeongozwa na Khalfani khalmandro na audio imetengenezwa Sei Records. Tazama kichupa kisha acha comment yako hapa […]

MAYUNGA – NAWEKEZA

Young Star Ambaye Alijipatia Umaarufu Kupitia Shindano La Muziki La Airtel Trace Lililofanyika Nchini Kenya Huku Mshindi Ambaye Ni Yeye Alijipatia Nafasi Ya Kwenda Kurekodi Chini Ya Universal Music Yak […]

ROSA REE: SIONI TATIZO KUJIACHIA NUSU UTUPU

M SANII anayekuja vizuri kwenye muziki wa Hip Hop, Rose Robert ‘Rosa Ree’ amefunguka kuwa hasumbuliwi na maneno ya watu wanaomzungumzia kuhusu mavazi yake ya nusu utupu kwani haoni tatizo […]