Skip to content
Advertisements

Category: Gumzo Mtandaoni

Wanawake matajiri zaidi duniani 2017

Mfaransa Liliane Bettencourt, 94, wa maduka ya bidhaa za urembo L’Oreal, alikuwa ndiye mwanamke tajiri zaidi duniani akiwa na mali ya $39.5bn. Alirithi biashara hiyo. Lakini alifariki dunia mwezi uliopita. […]

Nakumatt Mlimani City yafungiwa

Uongozi wa Mlimani City umelifungia duka kubwa (supermarket) ya Nakumatt iliyopo eno hilo jijini Dar es salaam, baada ya kukosa bidhaa za kutosha kwa muda mrefu na kudaiwa kodi za […]

Mashindano ya kwanza ya ulimbwende kwa walemavu

Masindano ya kwanza ya ulimbende kwa walemavu wanaotumia beiskeli nchini Poland Masindano ya kwanza ya ulimbwende kwa wanawake walemavu wanaotumia beiskeli wafanyika kimataifa nchini Poland. Katika mashindano hayo mwanafunzi katika […]

Diane Rwigara amwomba Rais Kagame afueni

Kiongozi wa upinzani nchini Rwanda Diane Rwigara amemwomba Rais Paul Kagame kumuachilia yeye, mamake na dadake. Akiwa mahakamani, Bi Rwigara amesema kwamba serikali imefanya jaribio la kuinyamazisha familia yake pamoja […]

Mwandishi maarufu auawa visiwa vya Malta

Mwandishi nguli wa habari za uchunguzi katika visiwa vya Malta ameuawa wakati gari alilokuwa akiliendesha lilipolipuliwa na bomu kubwa upande wa Kaskazini ya kisiwa hicho. Daphne Caruana Galizia amekuwa akiitumia […]

Msako wa mchawi Zambia

Msako wa mchawi umepelekea kituo cha polisi kucomwa moto nchini Zambia. Kwa mujibu wa habari, wakazi wa wilaya ya Mufumbwe walikusanyika barabarani na mitaani wakiwa wamebeba jeneza wakidai kumsaka mchawi […]

Mahakama yaamuru Zuma kushtakiwa

Mahakama ya juu ya rufaa nchini Afrika Kusini imeamuru kwamba Rais wa nchi hiyo Jacob Zuma lazima akabiliane na mashtaka ya rushwa, kugushi na kujihusisha na mtandao wa utakatishaji fedha. […]

SHEIKH PONDA ATAKIWA KUJISALIMISHA POLISI

Jeshi la Polisi kanda maalum Dar es salaam limempa siku 3 tu Sheikh Issa Ponda, ili kujisalimisha na kuhojiwa kuhusu tuhuma zinazomkabili, na iwapo hatafanya hivyo watamchukulia sheria stahiki. Tarifa […]

MADEE: ILIKUWA NIWE BONDIA

RAPA anayetamba na Video ya Sema aliyomshirikisha mwimbaji mahiri Nandy, Hamadi Ally ‘Madee’ ameweka wazi kuwa kabla ya kuibukia katika muziki, ndoto zake zilikuwa ni kupigana ngumi yaani ubondia. Akipiga […]