Skip to content
Advertisements

Category: HABARI

Scorpion Yametimia Hukumu Kusomwa Januari 10

Kesi ya kumjeruhi mpaka kumtoboa macho kinyozi, Said Mrisho inayomkabili mwalimu wa sanaa ya kujihami, ‘Martial Arts’ na msanii wa filamu za kibongo, Salum Njwete maarufu Scorpion hatimaye imefikia tamati […]

Lissu: Nitadai haki mpaka mwisho wa maisha yangu

Mbunge wa Singida Mashariki kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amesema kuwa hawezi kuacha kuitafuta haki pamoja na kuikosoa serikali pindi itakapoenda kinyume na utaratibu […]

Mugabe na mkewe waondoka Zimbabwe

Rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe leo ameondoka nchini humo kwa mara ya kwanza tangu ajiuzulu nafasi hiyo akielekea nchini Singapore kupata matibabu. Kwa mujibu wa gazeti la News […]

Mbunge Chadema apingana vikali na Mbowe

Mbunge wa Moshi Vijijini kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Anthony Komu ametoa msimamo wake unaotofautiana na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kuhusu kususia uchaguzi wa […]

Mfanyabiashara ajiandalia mazishi kabda ya kufa

Mfanyabiashara mmoja nchini Japan ambaye anaugua saratani na anatarajiwa kufariki karibuni aliwashangaza watu baada ya kuandaa karamu kubwa ya kuaga. Satoru Anzaki aliwaalika wageni karibu 1,000 wakiwemo marafiki zake, watu […]

Oscar Pistorius ajeruhiwa akipigana gerezani

Aliyekuwa mwanariadha mlemavu raia wa Afrika Kusini Oscar Pistorius amejeruhiwa kwenye mzozo wa gerezani, chini ya wiki mbili baada ya kifungo cha kwa kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp kuongezwa zaidi […]

Video;Rais Uhuru Kenyatta ameonya vikali upinzani

Rais Uhuru Kenyatta ameonya vikali upinzani kuwa sheria itachukua mkondo wake kwa wale wanaokiuka sheria. Akihutubia wakenya kwenye sherehe za 54 tangu taifa lijinyakulie uhuru, Kenyatta amesema kuwa taifa la […]

Nyalandu Amwandikia Ujumbe JPM

ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu, jana Disemba 11, 2017 alituma salamu za pole kwa Rais na Amri Jeshi Mkuu, Dkt. John Pombe Magufuli kufuatia vifo vya […]

Kenya yasherekea siku ya uhuru

Kwa mara ya kwanza sherehe za maadhimisho ya tarehe 12 Disemba, siku kuu ambayo Kenya ilijipatia uhuru, zitafanyika katika uwanja wa Kimataifa wa Michezo wa Moi Kasarani, Jumanne Disemba 12 […]

Mbaroni kwa tuhuma za kubaka watoto wanne

JESHI la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja, linamshikilia kijana wa miaka 30 kwa tuhuma za kuwabaka watoto wanne, wawili wa familia moja. Tukio hilo limeripotiwa Desemba 8, mwaka huu, huko […]

Bendera azikwa akimiminiwa sifa

MAELFU ya waombolezaji kutoka mikoa mbalimbali nchini juzi jioni walishiriki mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Manyara, marehemu Joel Bendera, wilayani Korogwe mkoani Tanga. Rais John Magufuli aliwakilishwa na […]

Rais Donald Trump matatani ukatili wa kijinsia.

Wanawake watatu wamemtuhumu rais Donald Trump kwamba aliwafanyia ukatili wa kijinisa miaka iliyopita kabla hajawa rais.Hivyo baraza la Congress kumchunguza trump kutokana na kashfa hizo. Wanawake walioibua kashafa hiyo dhidi […]

Ukawa watishia kususia uchaguzi

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema kuwa endapo Tume ya Uchaguzi na Serikali haitasogeza mbele uchaguzi mdogo wa Wabunge unaotarajiwa kufanyika Januari 13, 2018 basi […]