Skip to content
Advertisements

Category: MATUKIO

Mtu mmoja ambaye alikuwa mgonjwa kupitia kiasi amepoteza kesi yake katika mahakama ya juu kuhusu kusaidiwa kufa.  Noel Conway 67 , kutoka Shresbury nchini Uingereza ambaye anaugua ugonjwa wa neva […]

Soma Habari mchanganyiko

Kagera: Mtoto wa miaka miwili afariki kwa kuungua moto baada ya ndugu yake kuwasha kiberiti na kupelekea kuteketea kwa nyumba waliyokuwamo. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yatangaza uchaguzi mdogo […]

,Museveni akataa nguo za ‘mtumba’ Uganda

RAIS Yoweri Museveni (pichani) amepinga kuingizwa kwa nguo zilizotumika maarufu kama mitumba nchini Uganda kwa kuwa unadumaza maendeleo ya sekta ya nguo. “Mitumba inaua sekta ya nguo Uganda.  Uendelezaji wa […]

Mwanamke tajiri zaidi Duniani afariki

Bi Bettencourt alikuwa mtu wa 14 katika orodha ya watu tajiri zaidi duniani, kulingana orodha ya jarida la Forbes ya mwaka 2017  Liliane Bettencourt, ambaye ni mrithi wa kampuni ya […]

ARUSHA: MWILI WA MTOTO WAOKOTWA MFEREJINI

MWILI wa mtoto ambaye anakadiriwa kuwa na umri wa siku moja umeokotwa kwenye mfereji wa kupitisha maji machafu katika eneo la Mtaa wa Ali Nyanya Kata ya Ungalimited jijini Arusha. […]

Peter Msigwa awajia juu viongozi wa dini 

Mbunge wa Iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa ameweka hisia zake wazi kwa viongozi wa dini Tanzania kwa kuonyeshwa kukerwa na ukimya wa viongozi hao kwa matukio na hali ya kisiasa […]

Nguvu za kiume zatikisa bunge

Sakata la upungufu wa nguvu za kiume ambalo limekuwa changamoto kubwa kwa baadhi ya wanaume miaka ya sasa, limeibua sintofahamu bungeni baada ya mbunge wa Konde, Khatibu Saidi Haji (CUF) […]

DAR: MWANAMKE 1 AISHTAKI HOSPITALI YA KAIRUKI

MKAZI wa jijini Dar es Salaam, Khairat Omary, ameishtaki Hospitali ya Kairuki na kudai fidia ya Sh milioni 155 kwa kumsababishia matatizo katika mfuko wa uzazi yaliyofanya aondolewe kizazi. Khairat […]