Skip to content
Advertisements

Category: habari mkononi

Dayana nyange anena haya kuhusu mdogo wa drake

Mrembo Kutoka Nchini Tanzania Dayna Nyange Ambaye Amefanya Vyema Sana Na Ngoma Yake Ya Nivute Kwako Iliyomtambulisha Vizuri Sana Kwenye Ulimwengu Wa Muziki. Dayna Nyange Ambaye Amefanya Vyema pia Na […]

Faiza Ally asema kumpenda Diamond ni amri sio ombi

Muigizaji wa filamu nchini Faiza Ally ameamua kujitokeza hadharani na kumkingia kifua Diamond Platnumz kwa kuwachana makavu wabaya wote ambao wamekuwa wakimchukia msanii huyo.  Faiza ambaye pia ni mzazi mwenzake […]

Mahujjaj 35 wafariki dunia Mecca

Wizara ya Afya na Idadi ya Watu ya Misri, imesema, Mahujjaj 35 wa nchi hiyo wamefariki dunia wakati wa siku ya kwanza ya Hijja iliyomalizika nchini Saudi Arabia kutokana na […]

Bi. Hindu afariki dunia

Mbunge mteuliwa wa chama cha wananchi (CUF), Bi Hindu Mwenda amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa matibabu. Taarifa kutoka kwa Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano […]

Viongozi watano Boko Haram wauawa

Jeshi la Nigeria limetangaza kwamba, limewauwa makamanda watano wa ngazi ya juu wa kundi la Boko Haram, wakati jeshi hilo likiongeza mashambulizi dhidi ya kundi hilo katika eneo Kaskazini Mashariki […]

Manji Yupo hoi, ashindwa kufika kortini

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeshindwa kusikiliza utetezi katika kesi ya dawa za kulevya inayomkabili mfanyabishara Yusuf Manji baada ya kuelezwa kuwa anaumwa.  Wakili wa mshitakiwa, Hajra Mungula alidai mbele […]

PICHA ZA UTUPU: AMBER LULU MIKONONI MWA BASATA

ZIKIWA zimepita siku chache tangu kuachiwa mtandaoni picha zinazomuonesha msanii wa Bongo Fleva na muuza nyago, Lulu Auggen ‘Amber Lulu’ akiwa nusu utupu na Mbongo Fleva, David Genzi ‘Young D’, […]

MBUNGE ESTER BULAYA ARUHUSIWA KUTOKA MUHIMBILI

CHADEMA) ameruhusiwa kutoka katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa akitibiwa tangu wiki iliyopita baada ya afya yake kuimarika. Bulaya alikamatwa na polisi Ijumaa, Agosti 18 akiwa katika Hotel ya […]