Skip to content
Advertisements

Category: KIMATAIFA

Merkel aibuka mshindi

Kansela wa ujerumani , Angela Merkel ameibuka kuwa mshindi katika uchaguzi mkuu nchini humo kwa kipindi cha nne. Hata hivyo mamlaka yake imepungua kutokana na uungwaji mkono mdogo ndani ya […]

Le Bron James amtusi rais Trump

Nyota wa mchezo wa mpira wa vikapu nchini Marekani LeBron James amemuita rais wa Marekani ‘Bum'{Makalio} kufuatia matamshi aliyotoa kuhusu mchezaji mwenza Steph Curry. Trump alisema kuwa klabu ya Golden […]

Polisi wamshikilia mwanasiasa wa Upinzani

Polisi nchini Rwanda wamesema wanamshikilia mwanasiasa wa upinzani Diane Rwigara, mama yake pamoja na dada yake. Wiki iliyopita polisi walikuwa wametangaza kuwa mwanasiasa huyo anatuhumiwa kughushi nyaraka wakati alipotaka kuwania […]

Marekani: Mfungwa auawa kwa kutumia sumu mpya

Mark Asay alikiri kumuua McDowell, lakini akakanusha kutekeleza mauaji hayo mengine.  Mzungu mtetea ubabe wa wazungu ambaye akliwaua watu kwa sababu ya asili yao miaka 30 iliyopita ameuawa kwa kudungwa […]