Skip to content
Advertisements

Category: Makala

Haya Ndiyo Mambo Yanayoweza Kukuvunjia Heshima

HAKUNA kitu kibaya maishani kama kuonekana upo katika daraja la chini na mtu wa kudharaulika kwenye jamii unayoishi. Kisaikolojia kuna madhara makubwa.  Ni imani yangu kuwa kila mwanadamu timamu anapenda […]

Je, unayafahamu haya kuhusu wanawake?

Kuna usemi mmoja nimezoea sana kuusikia “I can’t understand women” hii ni nyimbo kila mwanaume anaimba, inawezekana ikawa kweli, kutokumuelewa mwanamke, inawezekana ikawa inasababishwa na wewe kutokuelewa mambo kadhaa yanayowahusu […]

UMRI GANI NI SAHIHI KUOLEWA? SOMA HAPA!

Kwa tuliokuwa pamoja wiki iliyopita tulijifunza juu ya heshima husasan kwa wanawake. Niliwaelekeza kuhusu umuhimu wa kuwatii waume zao maana si maneno ya yangu ni mpango wa Mungu na ndiyo […]