Skip to content
Advertisements

Category: MICHEZO

Imetajwa sababu iliyomkimbiza Chirwa Yanga

Baada ya kuenea taarifa kwamba mshambuliaji wa Yanga Obrey Chirwa ameikimbia klabu hiyo na kurejea nyumbani kwao Zambia akishinikiza kulipwa fedha zake anazodai, uongozi wa wanajangwani umesema Chirwa amekwenda nyumbani […]

NSAJIGWA KUWAPIKU MABOSI WAKE DHIDI YA MBAO FC

Baada ya kufungwa mara mbili na Mbao, sasa kocha msaidizi wa Yanga Shedrack Nsajigwa amekabidhiwa jukumu la kuikabili Mbao Jumapili Klabu ya Yanga itaendelea kumkosa kocha wake mkuu George Lwandamina […]

Zanzibar Heroes yapokelewa kifalme

Mkuu wa mkoa wa Mjini Magharibi Ayubu Mohamed Mahmoud ameongoza maelfu ya wazanzibar kuipokea timu ya taifa ya Zanzibar ‘Zanzibar Heroes’ iliyotoka Kenya kwenye mashindano ya CECAFA Senior Challenge Cup […]

Hizi ndizo klabu zenye mishahara mikubwa

KAMA ilivyoripotiwa na Gazeti la The Mail on Sunday, mzigo mkubwa wa mishahara, hesabu zake zimepigwa kulingana na kiasi klabu inachotumia kulipa wachezaji kwa wiki.  Klabu za Ligi Kuu England, […]

MSIBA: MO amefiwa na mtoto

Kiungo wa Simba Mohammed Ibrahim MO amefiwa na mtoto wake mdogo ambaye amezaliwa hivi karibuni. Bado hakuna taarifa rasmi ambazo zinaeleza sababu ya kifo cha mtoto huyo, lakini inaelezwa alifariki […]

Urusi yafungiwa kushiriki michuano ya olimpiki

Kamati ya kimataifa ya Olimpiki, imeifungia nchi ya urusi kushiriki michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi itayofanyika katika jiji la Pyeongchang nchini Korea kusini mwakani. Rais wa IOC Thomas […]

Urusi yafungiwa kushiriki michuano ya olimpiki

Kamati ya kimataifa ya Olimpiki, imeifungia nchi ya urusi kushiriki michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi itayofanyika katika jiji la Pyeongchang nchini Korea kusini mwakani. Rais wa IOC Thomas […]

Sanamu la Lionel Messi lavunjwa

Sanamu la mshambuliaji wa timu ya taifa ya Argentina na klabu ya Barcelona, Leonel Messi limeshambuliwa na kuharibiwa na watu wasiyo julikana nchini Argentina. Sanamu la mchezaji huyo mshindi mara […]

Arsene Wenger: Sanchez na Ozil hawaondoki ng’o

Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger amesema kuwa mshambuliaji Alexis Sanchez na kiungo wa kati Mesut Ozil wataichezea Arsenal baada ya dirisha la uhamisho la mwezi Januari hadi pale ”kitu kisiochoaminika […]

Mbwana Samatta nje ya uwanja kwa wiki sita

Mshambuliaji wa Genk, Mbwana Samatta na nahodha wa Taifa Stars, atakaa nje kwa wiki sita akiuguza majeraha ya goti.  Samatta aliumia goti wiki iliyopita wakati akiichezea Genk dhidi ya Lokeren […]