Skip to content
Advertisements

Category: SIASA

kipengele pekee kitakacho kuletea habari zote za siasa ndani na nje ya mipaka ya tanzania

Ukweli utaniweka huru daima – Katambi

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), Mjumbe wa kamati Kuu, Mjumbe kamati ya Maadili Taifa, Patrobass Katambi amesema ukweli utamuweka huru daima,hekima na busara zake ndio zilimlazimisha […]

Nape atupa jiwe gizani “Kenya”

Mbunge wa Mtama “Nape Unawiye ” ametupa jiwe gizani juu ya uchaguzi unaoendelea huko nchini kenya kupitia account yake ya twitter Nape aliandika ujumbe uliosomeka. “Unastahili kuwa Rais wa Kenya. […]

Tume yasogeza uchaguzi mbele

Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini Kenya (IEBC), imebadilisha tarehe ya kufanyika uchaguzi wa marudio na kwamba badala ya Octoba 17 sasa utafanyika Oktoba 26.  Awali, Mahakama ya Juu […]

Asha Rose Migiro arudishwa UN tena

BALOZI wa Tanzania nchini Marekani Asha-Rose Migiro ni miongoni mwa wajumbe 18, walioteuliwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres, watakaounda Bodi ya Ushauri ya Masuala ya Upatanishi […]

Jaji Mkuu: Mahakama haijamsusa Tundu Lissu

SIKU 15 baada ya Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Tundu Lissu kupigwa risasi na watu wasiojulikana, Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma […]

CHADEMA Yapingana na Jeshi la Polisi

Baraza la vijana CHADEMA (BAVICHA) limepinga kauli alizotoa Kamishna Kanda maalumu ya Dar es salaam, Lazaro Mambosasa kuhusu maombi yao kitaifa kumuombea Mbunge Tundu Lissu na kusema wao hawajapanga kuandamana […]

Maneno aliyosema Lissu baada ya kuzinduka.

Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa (CHADEMA) Tundu Lissu ambaye anapatiwa matibabu nchini Kenya kufuatia kujeruhiwa kwa risasi na watu wasiojulikana siku Septemba 9, 2017 amezinduka na kutoa […]

Wapinzani waanza na mgomo

Wabunge wa Kambi ya Upinzani Bungeni wamesusia kuapishwa kwa wabunge saba Viti Maalumu wa Chama cha Wananchi (CUF) katika mkutano wa nane Bunge la 11 kwa madai hawakufurahishwa na maamuzi […]

Oktoba 17 kutoa majibu

Tume huru ya uchaguzi nchini Kenya IEBC imetangaza rasmi tarehe ya uchaguzi wa urais, ambao utakuwa wa marudio baada ya Mahakama kuufuta wa awali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na […]

CHADEMA yanena

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa maoni yake baada ya Mahakama ya Juu nchini Kenya kufuta matokeo ya Urais na kutaka uchaguzi urudiwe, huku ikiishauri serikali kuiga mfano wao […]

UHURU KENYATTA AMPA ONYO RAILA ODINGA

Aliyekuwa Rais mteule wa Kenya, Uhuru Kenyatta amefunguka na kutoa onyo kwa mpinzani wake Raila Odinga kuwa asahu kuhusu tume mpya ya uchaguzi lakini pia amemtaka Jaji Mkuu wa Kenya […]

WAKATI Mahakama ya Juu nchini Kenya imeyafuta matokeo ya uchaguzi wa Rais uliofanyika mwezi uliopita, ikisema kuwa hayakuwa halali na kuamuru uchaguzi mpya kufanyika katika siku 60 zijazo, mambo mbalimbali […]

Pigo jingine kwa Chadema

Mahakama ya Rufani Tanzania imebariki Uchaguzi mdogo wa ubunge katika Jimbo la Longido mkoani Arusha kurudiwa baada ya kutupilia mbali rufaa iliyokatwa na aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, Onesmo Ole […]