Skip to content
Advertisements

Category: TIBA

Ujue Ugonjwa Na Tiba Ya UTI

UTi ni ugonjwa ambao unasumbua watu wengi; watoto, vijana na watu wazima. UTI ni kifupisho cha Urinary Tract Infection. Huu ni ugonjwa ambao hushambulia figo (kidneys); ureters; ambayo ni mirija […]

Kama Unaumwa Tumbo Wakati Wa Hedhi soma hapa

KARIBU sana katika makala yetu inayohusu afya. Kutokana na simu nyingi ninazozipata nikiulizwa maswali juu ya maumivu yanayowapata akina mama wengi wakati wa hedhi nimeona ni bora niandike makala hii […]

Je Nikotini kuathiri ubongo wako?

Nikotini, kazi na addictive kingo kupatikana katika sigara na bidhaa nyingi tumbaku, ni potent parasympathomimetic alkaloid kwamba ni kuchukuliwa kuwa miongoni mwa familia mtua ya mimea. Pia ni stimulant dawa […]

Punguza kilo tano kwa siku saba

NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha maradhi mbalimbali bali pia mwonekano wako unakuwa si mzuri. […]

Tatizo la Kunuka Kikwapa, tiba hii hapa

Kikwapa ni tatizo la kutoa harufu mbaya sehemu ya kwapani katika mwili wa binadamu. Tatizo la kikwapa husababishwa na bakteria wanaovutiwa na jasho au unyevunyevu chini ya kwapa. Tatizo la […]